Jumanne 10 Machi 2026 - 20:50
Hafla kutokana na Shahada ya Imaam Sayyed Ali Khamenei yafanyika katika Haram ya Imaam Ali (as) + Picha

Hawza/ Hafla ya kuiheshimu Shahada aliyoipata Imam Sayyed Ali Khamenei, yafanywa na hawza ya Najaf Ashraf

Kwa mujibu wa huduma ya kimataifa ya Shirika la Habari la Hawza, Hafla ya kuiheshimu Shahada aliyo ipata Imaam Sayyed Ali Khamenei Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Irani, imefanywa na Hawza ya Najafu katika Haram ya Imaam Ali (as).

Katika hafla hii walihudhuria wanazuoni mbalimbali, miongoni mwao ni, Hujjatul-islam Sayyed Muhamad Ridhwa na Sayyed Muhamad Baaqir Sistan, na Sayyed Ahmad Swa'fi, na Sheikh Abdul Mahdi Alkarbalai mwakalishi wa Ayatullah Sayyid Sistani, pamoja na Maulama wengine tofauti.

Hafla kutokana na Shahada ya Imaam Sayyed Ali Khamenei yafanyika katika Haram ya Imaam Ali (as) + Picha

Hafla kutokana na Shahada ya Imaam Sayyed Ali Khamenei yafanyika katika Haram ya Imaam Ali (as) + Picha

Hafla kutokana na Shahada ya Imaam Sayyed Ali Khamenei yafanyika katika Haram ya Imaam Ali (as) + Picha

Hafla kutokana na Shahada ya Imaam Sayyed Ali Khamenei yafanyika katika Haram ya Imaam Ali (as) + Picha

Hafla kutokana na Shahada ya Imaam Sayyed Ali Khamenei yafanyika katika Haram ya Imaam Ali (as) + Picha

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha